Atimae Yanga ya tembeza hidadi ya mkono
Mpambano huo ambao ulichezwa katika uwanja was Taifa jijini daresalaam ambao uliusisha wa babe hawa kularuana vikali sana katika kutetea nafasi zao
Magoli ayo yali fungwa na Pashelmani-2, msuva-2, na Tambwe-1.kwa namna hiyo viongozi wa timu ya yanga wana sema
Wao ni ushindi kwa kwenda usa(mbele)
Shelman akiwa na Msuva wakishelekea ushindi
Wadau wa yanga wa mesi mama na kaulimbiu yao ya kuwa wana bahati wange chezea saba tena kama ilivyo tokea mwakajana lakini kwa kuwaurumia tume wapiga hidadi ya mkono
Msuva akiwa na kapteni wa ruvu shunting katika mambano uliochezwa Leo.
No comments:
Post a Comment