habari za picha kuhusiana na hajari iliyo tokea jijini mbeya basi dogo la abilia kwa jina la Hiace lililo acha barabara na kuingia mtoni.
Ajali ya Hiace imeua watu 24 eneo la Uwanja wa ndege Kiwila Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
Inauma sana.kama niliyo ipokea
Wadau Niko eneo la tukio, mpaka sasa miili 22 imefanikiwa kutolewa.
Kwani Hiace hii ilidumbukia mtoni na bado miili miwili imenaswa, ndo inatolewa muda huu.
Watu wawili tu ndio wamepona akiwemo kondakta. Ajali hii imetokea wakati Coaster zinazofanya safari zake kati ya
Mbeya na Kyela kugoma hivo baadhi ya hiace za mjini kuamua kubeba abiria. Inaonekana ni ugeni Wa barabara, speed na gari kukosa break za kuaminika
Hapo juu tuna ona picha za mikatisho ikionyesha mjumuisho wa tukio zima
Nanguo za baadhi ya habilia zikianikwa
Kwakweri ina uma sana.
Ni mimi nikupashae:
Moffat gibson
No comments:
Post a Comment