Friday, April 17, 2015

GARI NDOGO YA HABILIA LA ANGUKA MTONI LA UWA 18

Gari ndogo la habiria la anguka mtoni la uwa watu kumi na wa nane

Gari hilo ambalo lina beba habilia wa ndani  katika jiji la mbeya ambalo lime pata ajali likiwa katika rutizake za kawaida  na kuacha barabara na kutumbukia katika mto ujulikanao kwajina la kiwira huko jijini mbeya
Sababu kubwa ya ajali hiyo ili sababishwa na kuferi kwa mfumo wa breki na kuingia kwenye mto uo
Na kuua watu kumi na wa nane
Hizi ni moja nguo za habiria ambao wa menusulika na hajali hiyo ziki anikwa pembeni mwa eneo la tukio
Ni mimi ni kujuzae Moffat Gibson

No comments: