Thursday, April 16, 2015

MAUAJI YA WATU WEUSI AMBAO SIO WADHAWA NNCHINI AFRICA YA KUSINI

Mauaji ya watu weusi waki wemo wa Tanzania

Mauaji ahaya yana sababishwa na wazawa wa nnchi hiyo kwa sababu zisizo kua na maana ya kua kwamba,
Wazawa hao wana washutumu
Watanzania kuzuia sekta zote za uchumi  na kujiajili kwa kufanya kazi ngumu,
Kusababisha upungufu wakazi
Kwa wazaliwa wa nnchi hiyoo
Hivyo upelekea kuwa chinja na kuwaua na kulusha picha za mauaji ya kutisha na kusikitisha mtandaoni

No comments: