Friday, April 17, 2015

MAKAMANDA WA CHADEMA KUTUA KANDA YA KUSINI

Chadema mwendo Mpaka kusini
jimbo la simama

John J. Mnyika -- Wiki iliyopita nilipata wasaa wa kuongoza mkutano wa uzinduzi Kanda ya Kusini uliofanyika siku ya Jumapili April 12, 2015 katika .
uwanja wa Mashujaa. Mkutano huo wa hadhara wa uzinduzi wa Kanda ya Kusini ulijumuisha mikoa ya Lindi na Mtwara

Hapo juu ni moja ya makamanda ya kinu wa chama cha chadema kanda ya kusini
M4C
Ni mimi ni kujuzae 
Moffat wa Gibson

No comments: