Karibuni sana Tanzania
Karibuni sana Tanzania
Wanafunzi wa Carman Ainsworth High School
iliyopo Michigan watembelea ubalozi wa
Tanzania Washington DC, na kupata fursa ya
kuonana na Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza kwa makini
Mhe. Balozi Leberata Mulamula.
Mhe. Bbalozi Liberata Mulamula akitoa historia
fupi ya Tanzania.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwashukuru
wageni wake kwa kuchagua ubalozi wa Tanzania
kama sehemu mojawapo ya ziara yao hapa mjini
Washington DC.
No comments:
Post a Comment