mkutano mkubwa wenye upako na nguvu za Mungu waanza mjini washington Dc
Mkutano mkubwa wa kiroho waanza Washington
Mgeni Rasmi, Mchungaji Wilbert Nfubhusa akitoa Wazo la Jioni wakati wa uzinduzi wa retreat hiyo
Mkutano mkubwa wa kiroho (TAUS Retreat 2015) ulioandaliwa na Jumuia ya Watanzania Wasabato walioko Marekani (Tanzania Adventists in the United States) umeanza leo hapa Washington DC.
Anwani ni
Burnt Mills SDA Church;
10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD 20901
Tumepata fursa ya kuzungumza na Mchungaji Wilbert Nfubhusa aliyetoa Wazo la Jioni (sikiliza sehemu ya wazo hilo HAPA) na Katibu Mtendaji Saburi Eliamani ambao wameeleza machache kuhusiana na TAUS.
Karibu
Posted: by
Moffat gibson
No comments:
Post a Comment