Thursday, April 16, 2015

WATANZANIA WALIOPO AFRICA YA KUSINI WATAKIWA KURUDI NCHINI

Watanzania rudini nyumbani kwani nyie sio watumwa


Watanzania waliopo Africa ya kusini wa meombwa warudi nchini,kwamaana wao
Sio watumwa wala wakimbizi.
Watanzania  ao wameombwa kuto kujiingiza katika majibishano au magombano yoyote na kuacha sheria ichukue mkondo wake.

"Karibuni sana nyumbani wapendwa wetu""

No comments: