Sunday, April 7, 2013

MAMBO KAMA HIVI YA LIVYO JAMAN

Jamani tuji adhali namilio ya cm zetu. Kuna Jamaa Mmoja alikwenda mazishini, muda ulipofika wa Watu kubeba mwili wa malehemu ghafra cm Ikaita "kimaso maso mwanangu msimuone Watu maso. Ghafra ikawagumzo jamani tujiadhali na Vicm vyetu.

No comments: