Saturday, April 6, 2013

CHEKA PAMOJA NAC

Dada mmoja alichukua cm ya mpenzi wake kwakutaka Kubip ili kuangalia ni jina gani atakua amemsevu kwa Kutegemea kua atakua ameseviwa beby, laazz, waubani au mpenz badala yaku bip akakuta ameseviwa "RASHID FUNDI MAJENEZA. Je wewe umemsevuje mwenzio?

No comments: