Mamboz?
Niaje wadau Kalibuni pamoja tu share ideas zetu tuna weza kuunda
Kitu "kwapamoja tuna weza"
Sunday, April 14, 2013
Tuesday, April 9, 2013
Monday, April 8, 2013
Kama kawaida wadau wa babuu's blog tegemeeni kupata mambo motomoto
babuu's blog http://mofatgibson.blogspot.com/
Sunday, April 7, 2013
MAMBO KAMA HIVI YA LIVYO JAMAN
Jamani tuji adhali namilio ya cm zetu. Kuna Jamaa
Mmoja alikwenda mazishini, muda ulipofika wa
Watu kubeba mwili wa malehemu ghafra cm
Ikaita "kimaso maso mwanangu msimuone
Watu maso. Ghafra ikawagumzo jamani tujiadhali na
Vicm vyetu.
Saturday, April 6, 2013
CHEKA PAMOJA NAC
Dada mmoja alichukua cm ya mpenzi wake kwakutaka
Kubip ili kuangalia ni jina gani atakua amemsevu kwa
Kutegemea kua atakua ameseviwa beby, laazz, waubani
au mpenz badala yaku bip akakuta ameseviwa "RASHID FUNDI MAJENEZA.
Je wewe umemsevuje mwenzio?
Tuesday, April 2, 2013
MAMBO HAYO YA DADA YETU J'D HIVINDIVYO HILIVYO
Kila lakheri Lady Jaydee. Kwa usimamizi wa mumewe Gadner G Habash ambaye ana uzoefu mkubwa kwenye masuala ya radio, kituo hicho huenda kikafanya vizuri.
You might also like:
Chris Brown, Nicole Scherzinger Makeout: Did It, Or Didn’t ...
Nightclub Sues Chris Brown and Drake for Brawl
MAKOSA YA WAZIRI MULUGO NI YA BAHATI MBAYA AU UFAHAMU ...
ANDRE 3000 KUDIRECT VIDEO 16 KUTOKA KATIKA ALBUM YA GOD ...
Monday, April 1, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)