Microsoft unveils reorganisation http://www.bbc.co.uk/news/business-23272331
Thursday, July 11, 2013
Wednesday, May 1, 2013
KIONGOZI WA UDUMA YA EFATHA MTUME NA NABII JOSEPHAT MWINGILA AKIWA NA (E.I.O)
Kiongoz wa uduma ya Efatha akiwa kwenye tafrija ya kuongea na watoto
Wake wa kiroho Efatha Interllector Organization (EIO) ilio fanyika jijini
Daresalam ndani ya viwanja vya nuru center mjini mwenge
MDAALO WA MASWALI NA MAJIBU.
Mdaalo wa maswali kutoka kwa watoto kuelekea kwa baba yao
Juu ya changamoto zinazo jitokeza,
Kimwili na kiroho juu ya vijana hao
Ambao ni wafanyakaz na wanafunzi
wa vyuo vikuu wakiwa sambamba na kiongozi wao Issac.
Sunday, April 14, 2013
Tuesday, April 9, 2013
Monday, April 8, 2013
Kama kawaida wadau wa babuu's blog tegemeeni kupata mambo motomoto
babuu's blog http://mofatgibson.blogspot.com/
Sunday, April 7, 2013
MAMBO KAMA HIVI YA LIVYO JAMAN
Jamani tuji adhali namilio ya cm zetu. Kuna Jamaa
Mmoja alikwenda mazishini, muda ulipofika wa
Watu kubeba mwili wa malehemu ghafra cm
Ikaita "kimaso maso mwanangu msimuone
Watu maso. Ghafra ikawagumzo jamani tujiadhali na
Vicm vyetu.
Saturday, April 6, 2013
CHEKA PAMOJA NAC
Dada mmoja alichukua cm ya mpenzi wake kwakutaka
Kubip ili kuangalia ni jina gani atakua amemsevu kwa
Kutegemea kua atakua ameseviwa beby, laazz, waubani
au mpenz badala yaku bip akakuta ameseviwa "RASHID FUNDI MAJENEZA.
Je wewe umemsevuje mwenzio?
Tuesday, April 2, 2013
MAMBO HAYO YA DADA YETU J'D HIVINDIVYO HILIVYO
Kila lakheri Lady Jaydee. Kwa usimamizi wa mumewe Gadner G Habash ambaye ana uzoefu mkubwa kwenye masuala ya radio, kituo hicho huenda kikafanya vizuri.
You might also like:
Chris Brown, Nicole Scherzinger Makeout: Did It, Or Didn’t ...
Nightclub Sues Chris Brown and Drake for Brawl
MAKOSA YA WAZIRI MULUGO NI YA BAHATI MBAYA AU UFAHAMU ...
ANDRE 3000 KUDIRECT VIDEO 16 KUTOKA KATIKA ALBUM YA GOD ...
Monday, April 1, 2013
Thursday, March 21, 2013
SHOSTEEZ WAJIANDAA NA REALITY TV SHOW

Ni siku chache tu tangu ibainike kuwa Menynah Atick, Salma Mahin na Nuru wa kundi hilo wamekula shavu la kufanya tangazo la kinywaji kikubwa duniani, na sasa they are coming with a huge project, Reality TV show! And because they are very attractive, the show is likely to be the talk of town! Inalipa kuwa mrembo kwenye music industry!
Kupitia Twitter Lamar amebreak news hiyo kwa kusema,’Shosteez reality tv show on ur tv soon.’
“The World is coming into the reality tv shows. And all the best wit managing the girls. Sending them kisses,” ametweet Diva.
Na Shosteez sio project kubwa pekee kwa Lamar, the young producer is planning more massive projects in the near future. “Making the band season 1 if u are a gal n can sing both in eng n swahili many things to happen!tv adverts n so on,” alitweet Lamar.
KEYSHIA COLE AUDISI WIMBO MPYA WA BIYONCE -BOW DOWN

“Can’t stand when people all self righteous when it’s convenient it makes them look good. Lmao! But can still talk shit when convenient 2 FOH,” alitweet Keyshia, jana ambaye baadaye aligeuka gumzo kwa kauli hiyo.
Baada ya jana BeyoncĂ© kuachia wimbo huo uliotengenezwa na Hit-Boy, alitweet, “This my shit, bow down, bitches”
Hata hivyo Keyshia aliona wimbo huo kama una kasoro ukizingatia ujumbe wa mwanzo wa Bey kuwa wanawake wanatakiwa kuwa na umoja.
“First ‘Women need to Stick together’ now bitches better Bow. Smh,” aliandika. “But it’s all G! Chicks stay shooting the shit. But when I speak my mind it’s a prob. #Well #StayMad.”
Baada ya mtu mmoja kumtuhumu kwa ana chuki binafsi, Keyshia alijibu, “How am i hating? no Mamm or sir. whatever u may be. No H8.”

Subscribe to:
Posts (Atom)