Wednesday, May 1, 2013

KIONGOZI WA UDUMA YA EFATHA MTUME NA NABII JOSEPHAT MWINGILA AKIWA NA (E.I.O)

Kiongoz wa uduma ya Efatha akiwa kwenye tafrija ya kuongea na watoto
Wake wa kiroho Efatha Interllector Organization (EIO) ilio fanyika jijini
Daresalam ndani  ya viwanja vya nuru center mjini mwenge

MDAALO WA MASWALI NA MAJIBU.

Mdaalo wa maswali kutoka kwa watoto kuelekea kwa baba yao
Juu ya changamoto zinazo jitokeza,
Kimwili na kiroho juu ya vijana hao
Ambao ni wafanyakaz na wanafunzi
wa vyuo vikuu wakiwa sambamba na kiongozi wao Issac.